Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Mpango akiwa ameongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha 5 cha Serikali Mtandao kinachofanyika kwa muda wa siku tatu jijini Arusha