Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila (hayupo pichani) wakati akielezea utekelezaji wa majukumu ya ofisi hiyo alipofanya ziara ya kikazi. Kulia ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka.