Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Dawati la Huduma kwa Mteja

Wasiliana na Watoa Huduma Wetu Jumatatu -  Ijumaa kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 10:00 Jioni kwa Namba +255262160240 au  +255734 986 508. Aidha, huduma hii haitapatikana siku za sikukuu. Karibu!