Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Wanataaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (hawapo pichani) wakati akifunga kikao kazi na mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji Wanataaluma hao leo katika ukumbi wa Masiti Manispaa ya Iringa tarehe 9 Mei, 2024.