Waajiri nchini watakiwa kuwawezesha Makatibu Muhtasi kushiriki mikutano ya mwaka

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akizungumza na Makatibu Muhtasi (hawapo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa mwaka wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) jijini Arusha.