Habari
BAJETI YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25 YAPITISHWA NA BUNGE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Bungeni jijini Dodoma.