Habari
BAJETI YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA 2024/25 YAWASILISHWA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25.