Taasisi za umma zatakiwa kuweka mazingira rafiki kuwezesha ujumuishwaji wa masuala ya kijinsia

Mwonekano wa jengo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora lililozinduliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) mara baada ya TBA kulikabidhi jengo hilo.