Serikali yatoa hatimiliki za kimila 100 kwa wananchi wa kijiji cha mbondo wilayani Nachingwea

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akitoa hatimiliki za kimila kwa mmoja wa wananchi wa kijiji cha Mbondo wilayani Nachingwea wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Lindi.