Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George Huruma Mkuchika (Mb) akiwaeleza Waandishi wa Habari Kijijini Lupaso - Masasi kuhusu jitihada alizozifanya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa katika kupambana na rushwa na umaskini nchini.