Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Mgeni Rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2024 iliyofanyika kimkoa katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.