|
|
In Focus
 Bw. Dominick Minja aliyetunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la pili, akiongea katika hafla iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais-Utumishi kuwapongeza watumishi waliotunukiwa nishani
 Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Mick Kiliba, katikati, akiongea katika hafla ya kumuaga Bw. Fredirick Mbaga (kulia) aliyekua Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma kwa kustaafu, kushoto, mke wa Bw. Mbaga.
 Mmoja wa watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi akipata ushauri kabla ya kupima afya
 Watumishi kutoka katika taasisi mbalimbali za serikali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo kuhusu TEKNOHAMA yaliyofanyika Morogoro
 Jengo la Serikali-Mtandao lililozinduliwa sambamba na Awamu ya pili ya Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma.
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Mwanza
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Abbas Kandoro tuzo wakati wa kilele cha maonesho ya Wiki ya Utumishi baada ya mkoa wake kuibuka mshindi katika kushughulikia masuala ya ugonjwa wa UKIMWI
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A.Ghasia (MB) akimkabidhi vitendea kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. David K. Jairo (kushoto) baada ya kuzindua rasmi wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania
 Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa H. Mkulo akifungua rasmi maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, uwanja wa CCM Kirumba Mwanza
 Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa na kikombe cha ushindi wakati wa maonesho ya Nane nane, kiwanja cha Nzuguni Dodoma
 Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Utumishi Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo (wa pili kulia), akipata maelezo katika banda la Utumishi, akiwa na Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Eric F. Shitindi (wa kwanza kulia).
 Wakazi wa Mwanza na mikoa ya jirani wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Utumishi wa Umma, uwanja wa CCM Kirumba
 Katibu Mkuu- Utumishi Bw. George D. Yambesi, wa nne kutoka kulia waliokaa, katika picha ya pamoja na Watendaji wakuu wa Wakala wa Serikali baada ya kufungua mkutano wao wa kila mwaka
 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwanza wakielimishwa kuhusu matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini katika banda la Utumishi uwanja wa CCM Kirumba
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akiwa katika picha ya pamoja na moja kati ya washindi wa maonesho ya Wiki ya Utumishi katika kiwanja cha CCM Kirumba, Mwanza
 Kaimu Katibu Mkuu, Utumishi Bw. Eric F. Shitindi akiongea na vyombo vya habari kuhusu kauli ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kuhusu uchaguzi mkuu
 USHINDI: Watumishi wa Ofisi ya Rais wakifurahia ushindi kwa Utoaji wa Huduma Bora za Jamii, wakati wa maonesho ya Nane nane kiwanja cha Nzuguni Dodoma
 Mteja akihudumiwa katika banda la Ofisi ya Rais, Utumishi wakati wa maonesho ya wiki ya Utumishi, uwanja wa CCM Kirumba
 Kaimu Katibu MKuu, Utumishi Bw. Eric F. Shitindi (watatu kutoka kulia), katika picha ya pamoja na watumishi wa kujitolea kutoka nchini Japani mara ya kuwapokea
 Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Eric F. Shitindi akiongea na vyombo vya habari wakati wa maonesho ya Nane nane-Dodoma
 Bw. Fredrick Mbaga, na mkewe wakiwa na zawadi waliyokabidhiwa katika sherehe ya kumuaga Bw. F. Mbaga kwa kustaafu
 Wadau wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakipata huduma wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi, Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza
 Mtumishi wa Ofisi ya Rais-utumishi akieleza faida za kupima na kuwa mkweli kuhusu afya wakati wa mafunzo kuhusu ugonjwa wa UKIMWI
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Bw. Dominick A. Minja wa Ofisi ya Rais-Utumishi Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la pili katika uwanja wa Nyerere Dodoma
 Mkuu wa sehemu ya Utumishi-Bi. Jane Kajiru akifungua mafunzo kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwa watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi jijini Dar es salaam
 Waziri wa Nchi, Utumishi Mhe. Hawa A. Ghasia akisaini kitabu cha wageni wakati wa maonesho ya Nane nane-Dodoma
 WIKI YA UTUMISHI - MWANZA: Wananchi wakipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi katika kiwanja cha CCM Kirumba
 Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Phillemon Luhanjo, kati kati (waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Naibu na Naibu Makatibu Watendaji walioteuliwa hivi karibuni wakati wa mafunzo elekezi kwa viongozi hao-Dodoma, Kushoto (waliosimama) ni Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Eric F. Shitindi
 Bendi ikiongoza maandamano ya watumishi wa Umma kutoka taasisi mbalimbali wakati wa sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Utumishi wa Umma
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akihudumia wateja wakati wa maonesho ya Saba saba - Dar es salaam
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia akimtunuku cheti Katibu wa Baraza Kuu katika Utumishi wa Umma na Baraza la Majadiliano ya pamoja katika Utumishi wa Umma Bw. Mathias Kabunduguru baada ya kumaliza muda wa nafasi hiyo
 Shamrashamra wakati wa kumuaga aliyekua Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma Bw. F.Mbaga
 Waziri wa Nchi-Utumishi Mh. Hawa A. Ghasia akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu-Utumishi Bw. George D. Yambesi katika hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata nishani za utumishi wa muda mrefu
|
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, MICHEZO YA SHIMIWI 2010 YAFUTWA |
Michezo ya SHIMIWI ya mwaka 2010 iliyopangwa kufanyika mkoani Tanga imefutwa ili kutoa nafasi kwa watumishi kutoa huduma katika maeneo yao ya kazi na hasa katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010. |
|
Last Updated ( Wednesday, 01 September 2010 )
|
|
|
HOTUBA YA MAKADIRIO YA FEDHA KWA MWAKA 2010-2011 |
|
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Hawa A. Ghasia (MB) akiwasilisha Bungeni makadirio ya matumizi ya fedha kwa mwaka 2010-2011. Tafadhali bonyeza hapa kusoma hotuba yote >>> |
|
Last Updated ( Monday, 21 June 2010 )
|
|
|
SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI |
|
Serikali imetambua kwamba katika kutekeleza majukumu yake asasi zisizo za Kiserikali ni muhimili wa msingi kutokana na mtandao wake mpana katika jamii, kazi wanazofanya na kiwango cha imani ambacho wananchi wanacho kwa sekta hizi. Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi-Utumishi Bw. Mick Kiliba amesema hayo kwa niaba ya Katibu Mkuu-Utumishi wakati akifungua mkutano wa kujadili namna ya kushirikisha asasi za kijamii kama sehemu ya kuongeza uwajibikaji wa serikali. Tafadhali bonyeza hapa kusoma hotuba yote >>> |
|
Last Updated ( Thursday, 27 May 2010 )
|
|
| | << Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
| | Results 1 - 4 of 37 |
|
Events Calendar
 |
September 2010 |
 |
|
Upcoming Events
There are no upcoming events currently scheduled.
Who's Online
We have 57 guests online
|