Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza na Wanachama wa Chama cha Madaktari Wakikristo Tanzania (Tanzania Christian Medical Association - TCMA) wakati akifungua mkutano mkuu wa 87 wa mwaka wa Chama hicho ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa St. Gaspar Dodoma