Habari
WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAIBUA FURSA ZA MABORESHO KATIKA UTOAJI WA HUDUMA
Matukio katika picha yakionesha Wananchi wakipatiwa Huduma na Wataalamu kutoka Wizara, Taasisi na Mashirika mbalimbali katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma
