Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (aliyevaa suti nyeusi) akikagua maandalizi ya ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayotarajiwa kufunguliwa rasmi tarehe 17 Juni, 2025 katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.