Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WHI JENGENI NYUMBA ZA WATUMISHI KWENYE MAENEO YENYE FURSA NA MAZINGIRA MAZURI YA KUISHI-Mhe. Kikwete


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investments (WHI), Dkt. Fred Msemwa alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kujitambulisha na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa WHI Dar es Salaam.