Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WHI JENGENI NYUMBA ZA WATUMISHI KWENYE MAENEO YENYE FURSA NA MAZINGIRA MAZURI YA KUISHI-Mhe. Kikwete


Sehemu ya Menejimenti ya Watumishi Housing Investments (WHI) wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kujitambulisha na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa WHI jijini Dar es Salaam.