Habari
WHI JENGENI NYUMBA ZA WATUMISHI KWENYE MAENEO YENYE FURSA NA MAZINGIRA MAZURI YA KUISHI-Mhe. Kikwete

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Menejimenti ya Watumishi Housing Investments (WHI) wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kujitambulisha na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa WHI jijini Dar es Salaam.