Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. SIMBACHAWENE AITEMBELEA NA KUTOA POLE KWA FAMILIA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHANDISI HAMAD MASAUNI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene , amefika nyumbani kwa Marehemu Mzee Masauni Yussuf Masauni, ambaye ni Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni. Mhe. Simbachawene amefika Migombani Zanzibar kutoa pole kwa familia.