Habari
WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA, MHE. RIDHIWANI KIKWETE AKIWASILISHA BAJETI YA OFISI HIYO KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027 LEO APRIL 17, 2026 JIJINI DODOMA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha Bajeti ya ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo April 17, 2026 jijini Dodoma.
