Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUZINGATIA MIKATABA YA HUDUMA KWA MTEJA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (katikati) akiwa na viongozi mbalimbali wakiwa wameshika Mikataba ya Huduma kwa Mteja ya Taasisi za Umma ambayo imezinduliwa leo katika Kilele cha Maadhimisho wiki ya Utumishi wa Umma Jijini Dodoma