Habari
WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA, MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE NDUGU ALHAJI MUSTAFA SONGAMBELE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amjulia hali mwanasiasa mkongwe Ndugu Alhaji Mustafa Songambele aliyelazwa katika hospitali ya Agakhan kwa matibabu, tarehe 2 April, 2025.