Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA, MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AKIWA KWENYE BAADHI YA MABANDA ALIYOYATEMBELEA KATIKA VIWANJA VYA CHINANGALI KABLA YA KUFUNGUA RASMI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2024 YANAYOENDELEA KUFANYIKA JIJINI DODOMA.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye baadhi ya mabanda aliyoyatembelea katika viwanja vya chinangali kabla ya kufungua rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2024 yanayoendelea kufanyika jijini Dodoma.