Habari
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa ameongoza na Naibu Waziri wake Mhe.Ridhiwan Kikwete wakati wakikagua hatua ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambalo limefikia asilimia 88 ya ujenzi wake katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.