Habari
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUZINGATIA MIKATABA YA HUDUMA KWA MTEJA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi cheti cha kuwa Mkataba wa Huduma kwa Mteja uliokidhi viwango wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakati wa Uzinduzi wa Mikataba ya Huduma kwa Mteja ya Taasisi za Umma katika Kilele cha Maadhimisho wiki ya Utumishi wa Umma ambayo kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.