Habari
WAZIRI SIMBAWENE; MFUMO WA KIELEKTRONI NI USHINDI KATIKA KUTENDA HAKI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi leo Jijini Dodoma mara baada ya kuzindua mfumo wa kielektroniki wa Kukusanya, Kuchakata na Kutunza Kumbukumbu za Kesi Jinai (CMIS)utakaosaidia kutoa huduma kwa Wananchi kwa wakati