Habari
WAZIRI SIMBAWENE; MFUMO WA KIELEKTRONI NI USHINDI KATIKA KUTENDA HAKI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGa), Mhandisi Benedict Ndomba akizungumza wakati wa kuzinduliwa kwa mfumo wa kielektroniki wa Kukusanya, Kuchakata na Kutunza Kumbukumbu za Kesi Jinai (CMIS)utakaosaidia kutoa huduma kwa Wananchi kwa wakati