Habari
WAZIRI SIMBAWENE; MFUMO WA KIELEKTRONI NI USHINDI KATIKA KUTENDA HAKI

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Gekul akizungumza leo Jijini Dodoma kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George Simbachawene kwa ajili ya kuzindua mfumo wa kielektroniki wa Kukusanya, Kuchakata na Kutunza Kumbukumbu za Kesi Jinai (CMIS)utakaosaidia kutoa huduma kwa Wananchi kwa wakati