Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AZIASA NCHI ZA AFRIKA KUWA NJIA YA PAMOJA YA KUPAMBANA NA TATIZO LA RUSHWA

Sehemu ya washiriki wa Kongamano la kujadili namna bora ya kupambana na rushwa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akifungua Kongamano hilo ikiwa ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ambayo hufanyika kila mwaka Julai 11, na mwaka huu 2023 maadhimisho hayo yanafanyika hapa Tanzania, jijini Arusha