Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI SIMBACHAWENE AZIASA NCHI ZA AFRIKA KUWA NJIA YA PAMOJA YA KUPAMBANA NA TATIZO LA RUSHWA


Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) CP Salum Hamduni akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kufungua  Kongamano la kujadili namna bora ya kupambana na rushwa ikiwa ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ambayo hufanyika kila mwaka Julai 11, na mwaka huu 2023 maadhimisho hayo yanafanyika hapa Tanzania, jijini Arusha