Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUTOA FURSA KWA WATUMISHI WANAOWAONGOZA ILI WAONESHE UWEZO WAO KIUTENDAJI

Kaimu Mkuu wa Chuo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Ernest Mabonesho akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kabla ya Waziri huyo kuzungumza na Menejimenti ya Chuo hicho jijini Dar es Salaam