Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUTOA FURSA KWA WATUMISHI WANAOWAONGOZA ILI WAONESHE UWEZO WAO KIUTENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wakala ya Ndege za Serikali mara baada ya kuzungumza na Watumishi hao jijini Dar es Salaam.