Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUTOA FURSA KWA WATUMISHI WANAOWAONGOZA ILI WAONESHE UWEZO WAO KIUTENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Menejimenti ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) jijini Dar es Salaam kabla ya kuzungumza nao kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.