Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUTOA FURSA KWA WATUMISHI WANAOWAONGOZA ILI WAONESHE UWEZO WAO KIUTENDAJI

Katibu Mkuu Ikulu, Bw. Mululi Mahendeka akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza kuzungumza na Watumishi wa Wakala ya Ndege za Serikali jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao.