Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUTOA FURSA KWA WATUMISHI WANAOWAONGOZA ILI WAONESHE UWEZO WAO KIUTENDAJI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza na Menejimenti ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao.