Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuufungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam