Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI

Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, Dkt.Tumaini Katunzi akitoa neon la shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene mara baada ya kufungua Mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam