Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Taasisi, Bw. Nolasco Kipanda akizungumza akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Utumishi, Bw. Juma Mkomi kwa ajili ya kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini katika Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam