Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya  Watendaji Wakuu  wa Wakala za Serikali nchini  mara baada ya kuufungua mkutano huo uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam