Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, UTUMISHI Bw. Juma Mkomi akizunguma kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini