Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza leo Jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini ambapo amewataka kuzingatia mifumo iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kuujenga Utumishi wa Umma usio na matabaka kwa ajili ya maslahi mapana kwa Taifa