Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI SIMBACHAWENE ASISITIZA UMUHIMU WA KUINGIZA TAARIFA ZA WATUMISHI KWENYE MIFUMO ILI KUBORESHA MASUALA YA UTUMISHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (aliyeshika kipaza sauti) akisikiliza hoja ya Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi (hayupo pichani) wakati akiwasilisha hoja kwa Waziri huyo alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.