Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ASISITIZA UMUHIMU WA KUINGIZA TAARIFA ZA WATUMISHI KWENYE MIFUMO ILI KUBORESHA MASUALA YA UTUMISHI

Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Dkt. Clement Morabu akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo mkoani Mwanza iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.