Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ASISITIZA UMUHIMU WA KUINGIZA TAARIFA ZA WATUMISHI KWENYE MIFUMO ILI KUBORESHA MASUALA YA UTUMISHI

Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza Bw. Joseph Mafuru akiwasilisha taarifa ya hali ya Watumishi na miradi katika Wilaya hiyo kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza na watumishi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma.