Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI SIMBACHAWENE ASISITIZA UMUHIMU WA KUINGIZA TAARIFA ZA WATUMISHI KWENYE MIFUMO ILI KUBORESHA MASUALA YA UTUMISHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akipokea saluti kutoka kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma.