Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ASISITIZA UMUHIMU WA KUINGIZA TAARIFA ZA WATUMISHI KWENYE MIFUMO ILI KUBORESHA MASUALA YA UTUMISHI

Sehemu ya watumishi wa Wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa Wilaya hiyo.