Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA TASAF KUWA SHIRIKISHI ILI KUWAGUSA WALENGWA HALISI WA UMASIKINI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Shedrack Mziray akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa TASAF kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo jijini Dar es Salaam iliyolenga kuhimiza uwajibikaji.