Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA MAADILI NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA OFISI HIYO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza na watumishi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na watumishi hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji