Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA MAADILI NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA OFISI HIYO

Sehemu ya watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (Hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na watumishi hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji. Wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete.