Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA MAADILI NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA OFISI HIYO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma (hawapo pichani) jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.